TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 8, 2011

HAYAWI HAYAWI, YAMEKUA...TANZANIA MABINGWA WA TASABA CUP OF AFRICAN NATIONS,BANGALORE

7:15 PM
Hatimaye timu kabambe ya wanafunzi wa Tanzania wasomao Bangalore, ilifanikiwa kutwaa kikombe cha mashindano "TASABA CUP OF AFRICAN NATIONS " (T-CAN) baada ya kuwatungua wa Cameroon kwa mikwaju ya penalti 5 kwa 4 baada ya mechi kuisha kwa sare ya mabao 2 - 2..

Mpambano huo ulikuwa wa kukata na shoka, ambapo timu zote zilikuja na mashabiki wake wa kutosha kuzipa nguvu timu zao ili ziweze twaa kombe hilo kwa mara ya kwanza.

Ilikua ni Cameroon iliyojipatia bao la kuongoza katika dakika ya 29 ya mchezo kwa njia ya shuti kali lakini katika dakika ya 34 ya mchezo, Tanzania ilisawazisha mara baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa Cameroon kutokana na kona iliyochongw akiumaridadi na winger Muddy, ambapo Kiungo Jaffar alipiga kichwa kilichogonga mwamba na mshambuliaji hatari Freddy akaja umalizia kwa kichwa.

Hadi mapumziko, mpira ulikua 1 - 1..BOFYA HAPA......

1 comments:

Simon Kitururu said...

Hongera zenu Wanafunzi wa Tanzania wasomao Bangalore!

Tanzania Oyeee!

Post a Comment

 
BONYA HAPA