Mmoja wa waanzilishi wasimamizi
wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo) kwa hapa nchini,Kaye Billy
akizungumza katika mkutano wa wataalamu wa ICT katika ukumbi wa mikutano
wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar jana.

Irene
Joseph akizungumzia mambo yafanyikayo na COSTECH katika mkutano huo
uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na
Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.

Muanzilishi
wa Mtandao wa PUSH MOBILE,Brian Waluchio akitoa ufafanuzi juu ya
mtandao wake huo unavyofanya kati katika nyanja mbali mbali hapa nchini.

Muanzilishi
wa Mtandao wa BONGO LIVE,Taha Jiwali akielezea namna mtandao wake
unavyofanya kazi katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanika jana jioni
katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na
Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.

Mmoja wa wajumbe wa mkutano huo akiuliza maswali kwa wahusika.

Mdau Patrick (shoto) pamoja na wadau wengine wakifuatilia mkutano huo.

Mapitio yakiendelea.

Wajumbe waliohudhulia mkutano huo wakiufuatilia kwa makini.
kwa mambo kadha wa kadhaa yahusuyo Mobile Monday

0 comments:
Post a Comment