Hatimaye timu kabambe ya wanafunzi wa Tanzania wasomao Bangalore,
ilifanikiwa kutwaa kikombe cha mashindano "TASABA CUP OF AFRICAN NATIONS
" (T-CAN) baada ya kuwatungua wa Cameroon kwa mikwaju ya penalti 5 kwa 4
baada ya mechi kuisha kwa sare ya mabao 2 - 2..
Mpambano
huo ulikuwa wa kukata na shoka, ambapo timu zote zilikuja na mashabiki
wake wa kutosha kuzipa nguvu timu zao ili ziweze twaa kombe hilo kwa
mara ya kwanza.
Ilikua ni Cameroon iliyojipatia
bao la kuongoza katika dakika ya 29 ya mchezo kwa njia ya shuti kali
lakini katika dakika ya 34 ya mchezo, Tanzania ilisawazisha mara baada
ya kutokea piga nikupige langoni mwa Cameroon kutokana na kona
iliyochongw akiumaridadi na winger Muddy, ambapo Kiungo Jaffar alipiga
kichwa kilichogonga mwamba na mshambuliaji hatari Freddy akaja umalizia
kwa kichwa.
Hadi mapumziko, mpira ulikua 1 - 1..BOFYA HAPA......
1 comments:
Hongera zenu Wanafunzi wa Tanzania wasomao Bangalore!
Tanzania Oyeee!
Post a Comment