Mkurugenzi wa Tanzania One Thetre (TOT) ambaye pia ni Mbunge wa Mbinga Magharibi, John Komba akizunguma na waandishi wa habari nyumbani kwake, Mbezi Tangi Bovu, Kawe, Dar es Salaam, leo wakati akizungumzia hali ya afya yake baada ya kurejea nchini akitoka nchini India alikokwenda kufanyiwa upasuaji. Kushoto ni Mkewe, Salome Andrew Komba.
|
0 comments:
Post a Comment