TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, July 18, 2012

FFU inawaombea USHINDI Wanamichezo wa Tanzania Olympic London 2012

12:46 PM
Watanzana wameombwa kujitokeza kwa wingi katika kuwashingilia wanamichezo watanzania wanaoshiriki katika michezo ya Olympic huko London, wito huo umetolewa na bendi maarufu ya Ngoma Africa aka FFU, yenye makao yake Ujerumani.
Bendi ya Ngoma Africa inawaombea mafanikio na ushindi wanamichezo wa Tanzania,
Tuwaomba watanzana na marafiki wa Tanzania pamoja taha sisi mbali mbali zilizopo Uingereza na ughaibuni kujitokeza kwa wingi na kuzipeperusha bendera za Tanzania kwa kuwashingilia wanamichezo wetu,kwa shangwe, shangwe na mayoe ! Tanzania ! Tanzania! Tanzania! oyeeeeeeeeeee!
Mungu wabariki wanamichezo wetu! www.ngoma-africa.com

Mungu Ibaraiki Tanzania !

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA