Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Shehe, akichangia bajeti ya
Wizara ya Katiba na Sheria, wakati wa Kikao cha asubuhi kikiendelera na
michango ya wajumbe.
Mwakilishi wa Kuteulia Ali Mzee Ali, akichangia hutuba ya Bajeti ya
Wizara ya Katiba na Sheria na kutowa historia ya Zanzibar wakati
akichangia hutuba hiyo na kusoma baadhi ya Ripoti za Serekali kuhusu
Muungano.
Wakuu wa Idara za Sheria wakifuatilia mijadala ya michango iliokuwa
ikitolewa na Wajumbe wa baraza wakati wakichangia Wizara hiyo katika
kikao cha asubuhi kikiendelea.
Wafanyakazi wa Idara za Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia michango ya Wizara yao wakiti Wajumbe wakichangia.
Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Zanzibar Mhe.Othman Masoud, kushoto
akizungumza na Mhe Ali Mzee Ali, wakati wa mapumziko wa kikao cha
asubuhi kuahirishwa kwa mapumziko.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo, UtaliiUwezeshaji na Habari Asha Bakari,
akizungumza na Maofisa wa Baraza la Habari Tanzania tawi la Zanzibar
kushoto Shiffa Said na Suleiman Seif walipofika katika viwanja vya
baraza la Wawakilishi kuonana na Mwenyekiti huyo.
0 comments:
Post a Comment