TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, June 18, 2012

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Azindua Semina ya Siku Moja Kwa Viongozi wa Kidini katika Kukuza Dhana ya Utalii Kwa Wote

11:24 PM
 Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa semina ya siku moja kwa  Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,(kulia) Msahauri wa Rais masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman,na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk,(kushoto) Katibu mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Ali Halil Mirza.
Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini  Magharibi wakisikiliza  kwa makini hotuba ua ufunguzi wa  semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.Picha na Ramaadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA