TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, June 18, 2012

Mama Salma Kikwete Ashiriki Mkutano wa Global Network of Religions for Children (GNRC)

11:23 PM
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akiwahutubia washiriki wa mkutano wa Global Network of Religions for Children (GNRC) wakati wa chakula cha jioni huko Kilimanjaro hoteli tarehe 17.6.2012.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Rev.Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou International and Chairman of the Board of Myochikai kutokana na mchango wake mkubwa juu ya malezi ya watoto wakati wa chakula cha jioni kilichofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Global network of Religions for Children (GNRC) tarehe 17.6.2012.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Rais wa Arigatou International and Chairman of the Board of Myochikai Rev. Keishi Miyamoto wakati wa chakula cha usiku kilichofanyika katika hoteli  ya Kilimanjaro tarehe 17.6.2012.Picha Zote na John Lukuwi

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA