TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 26, 2012

Mzee wa 'Vibonzo' Nathan Mpangala Akijifua Nchini Marekani

2:13 PM
 Mdau Nathan Mpangala mmoja wa wachoraji maarufu wa katuni nchini yuko nchini Marekani katika chuo Kikuu cha Tufts University, Massachusetts,  akihudhuria kozi fupi inayoitwa Nonviolent Conflict and Social Movement.Ni kozi inayohusisha waandishi wa habari, wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali duniani kote
Hapa akiandika mambo muhimu yanayojadiliwa  na kufundiswa katika kozi hiyo inayoendelea nchini Marekani.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA