TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 26, 2012

WANAUME FAMILY, MWANA FA,FEROUZ NA KHADIJA KOPA WAFUNIKA DAR LIVE

2:14 PM
Msanii Chegge Chibunda kutoka kundi la Wanaume Family akifanya makamuzi ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia jana
Mhe. Temba wa Wanaume Family akishusha burudani kwa mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live usiku wa kuamkia jana
Hamis Mwinjuma a.k.a MwanaFA akiliteka jukwaa la Dar Live.
Bi. Cheka wa Wanaume Family akifanya makamuzi. Pembeni ni Temba.
Dogo Aslay wa Wanaume Family akiwarusha mashabiki wa Dar Live.
Ferouz akiimba pamoja na umati wa mashabiki uliofurika Dar Live.
Malkia wa mipasho, Khadija Kopa akiwarusha mashabiki wa taarab.
Sehemu ya umati wa watu walioitikia shoo hiyo.
--
Wasanii wa kundi la Wanaume Family, MwanaFA, Ferouz na Khadija Kopa jana walifunika vilivyo katika ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam kwenye tamasha la Wanaume Family Spesho.PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA