TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 26, 2012

Mama Salma Kikwete Atembelea Kituo Cha Kulelea Watoto Cha SOS Kilichopo Mwenge Jijini Dar es salaam.

2:12 PM
 Mama Salma Kikwete akipaka rangi katika kituo cha kulelea watoto cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam.
Kutoka kushoto  Dilip Musale(left), Dr.Alex Lengeju wakishuhdia wakati Mama Salma Kikwete na  mtoto yatima Innocent Suta wakikata keki  wakati Mama Salma Kikwete alipotembelea katika kituo cha kulelela watoto cha  SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam, Mtoto Innocent Suta ni mtoto mwenye kipaji kutoka katika kituo hicho na amepata nafasi ya kwenda kusoma nchini Ghana.Kampuni ya Sadolin imejitolea kupaka rangi vijiji vyote vya kulelea watoto yatima nchini Tanzania
Mama Salma kikwete akimlisha keki mtoto mwenye kipaji maalum Innocent Suta kutoka kijiji cha watoto yatima SOS anaekwenda kusoma huko Ghana
 Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Sadolin nchini ambao walijitolea kupaka rangi vijiji vyote vya watoto yatima hapa nchini.
Mama Salma Kikwete akimwagili mti alioupanda katika kituo hicho wakati alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA