
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisamiana na Rais wa Japan International
Cooperation Agency (JICA) Profesa Akihito Tanaka na baadaye kufanya
naye mazungumzo baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Mshauri wa Mfalme wa
Tano wa Morocco Bw Omar Kabbaj baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa
Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC
jijini Arusha.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki
ya Dunia Bw. Makhtar Diop baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya
Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini
Arusha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Zanzibar katika
Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika wakati
wa hafla ya chakula cha usiku baada ya ufunguzi wa mkutano huo Mei 31,
2012 usiku katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha
.jpg)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana wa Arusha walioshiriki
kutoa huduma kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki
ya Maendeleo ya Afrika wakati wa hafla ya chakula cha usiku baada ya
ufunguzi wa mkutano huo Mei 31, 2012 usiku katika hoteli ya Ngurdoto
Mountain Lodge jijini Arusha

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa
ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada
ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba la mikutano la AICC jijini
Arusha.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya
Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Jengo hili liko nyuma ya
jumba la mikutano la AICC jijini Arusha.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment