Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa kwa gwaride baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Luanda, Angola May 31, 2012 kumwakilisha Rais
Jakaya Kikwete katika Kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika, SADC. Anaongozwa na Waziri wa Nishati na Maji wa
Angola Joao Baptista Borges.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe baada ya kuwasili Luanda Angola
May 31, 20121 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwenye katika Kikao
cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Afrika SADC Juni 1, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengio Pinda akisalimiana na Rais wa Angola Jose Edwardo dos
Santos katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleoo ya
Nchi za Kusini mwa Afrika SADC kilichofanyika Juni 1, 2012 Mjini
Luanda Angola .
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Maji wa
Angola, Joao Baptista Borges baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa Luanda nchini Angola May 31, 2012 ambako atamwakilisha Rais Jakaya
Kikwete katika kikao cha Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika SADC Juni 1, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment