TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, June 27, 2012

Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania Asherehekea Miaka 35 ya nchi Yake

8:38 PM
 Pichani juu na chini ni  Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akiongea machache kwenye hafla fupi ya kutimiza miaka 35,mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo mabalozi kutoka sehemu mbalimbali,hafla hiyo imefanyika jioni ya jana nyumbani kwa balozi huyo,jijini Dar.
Sehemu ya baadhi ya wageni waalikwa wakisikiliza hotuba fupi iliyokuwa ikitolewa na Balozi wa Jamhuri ya Djibouti, Saidi Amin Shamo,kwenye hafla fupi ya kutimiza miaka 35 ya jamhuri ya Djibout iliyofanyika jioni ya jana jijini Dar.
Wageni waalikwa wakijadiliana jambo,Pichani kati ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Bw.Joseph Kusaga.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo,wakisherehekea hafla fupi ya  kutimiza miaka 35 ya jamhuri ya Djibout iliyofanyika jioni ya jana jijini Dar.
Burudani kama hivi ilikuwepo kwa wageni waalikwa waliofika kwenye hafla hiyo.
 Balozi wa Jamhuri ya Djibouti-Tanzania, Saidi Amin Shamo akimpokea mgeni rasmi wa hafla hiyo,Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mh.Ally Hassan Mwinyi alipokuwa akiwasili nyumbani kwa balozi huyo.
 Balozi wa Jamhuri ya Djibouti, Saidi Amin Shamo  akimkaribisha Sir Andy Chande (Mtanzania wa kwanza kukiri kuwa Mwanachama wa Freemasons) mara alipokuwa akiwasili kwenye hafla hiyo.Endelea hapa>>>>>

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA