TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, June 27, 2012

Kamati Ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Chini Ya Mwenyekiti Wake Edward Lowassa Yaanza Ziara ya Siku 14 katika Balozi za Tanzania Kwenye nchi za Marekani,Canada,Uingereza na Asia Kukagua Namna Zinavyotekeleza Mambo ya Sera na Uchumi

8:33 PM
 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa.
  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, muda mfupi kabla ya wajumbe wa kamati hiyo kuelekea nchini Canada, Marekani na Uingereza kwa ziara ya kujifunza.
Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Francis Dande

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA