TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, January 28, 2012

Mazungumzo ya amani yanaweza kutatua mvutano wa mpango wa nyuklia nchini Iran:Ban

1:13 PM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa bado Iran haijaonyesha kuwa mpango wake wa nyuklia ni wa amani. Ban amesema kuwa uchunguzi wa hivi majuzi wa shirika la kudhibiti nishati ya nyuklia duniani unaonyesha kuwa mpango wa nyuklia nchini Iran una uhusiano za masuala ya kijeshi.
Akiongea mjini Davos nchini Uswisi Ban ametaka kuwa na mazungungumzo kwa njia ya amani ili kutatua mvutano uliopo kuhusu mpango wa nyuklia nchini Iran

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA