TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, July 12, 2011

Zantel Yawaandalia Wabunge Usiku wa Zantel Dodoma.

4:25 PM

Afisa Mkuu wa Kiufundi Zantel Moncef Mettiji akitoa hotuba yake kwa niaba ya Afisa Mkuu Mtendaji wakati wa ‘Usiku wa Zantel’ hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge ya wabunge Dodoma.

Afisa Mkuu wa Kiufundi Zantel Moncef Mettiji akimkabidhi modems Naibu Spika Mhe. Joe Ndungai zilizotolewa na Zantel kwa ajili ya ofisi za bunge za Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar

Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika mwisho mwa Wikeend mjini Dodoma.
Baadhi ya Wabunge wakionesha umahiri wao wa kulisakata dansi.
Wacheza shoo wa bendi ya Extra Bongo wakiwatumbuiza waheshimiwa.




0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA