TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, July 12, 2011

Talib Hilal aipeleka Oman Kombe la Duania mpira wa Ufukweni

4:20 PM

 Kikosi kamili cha Timu ya Tifa ya Oman mpira wa Ufukweni ambacho kimefunzu kucheza fainali za kombe la Dunia mwaka huu nchini Italy. Kikosi hiki kinafundishwa na kocha wa zamani wa Simba Twalib Hilal (wa pili kushoto walio simama). Kikosi hiki kipo njiani kuelekea nchini Brazil kuweka kambi kwaajili ya mashindano hayo.
 Makundi yatakayochuana katika fainali hizo.
Kocha wa Oman, Talib Hilal akiwa amesimama kando ya Kombe litakaloshindaniwa katika fainali hizo za FIFA Beach World Cup 2011

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA