Mmoja
wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Pascal Robert, akilalama kuhusu
kitabu cha Katiba mpya kwa hisia kali wakati wanafunzi hao walipofika na
kutaka kuingia kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa kwa ajili ya
kusikiliza mchakato wa kupata maoni ya kupata Tume ya Katiba leo mchana.
Askali Polisi akilinda eneo hilo wanafunzi wasirejee baada ya kutawanywa kwa mabomu ya machozi. Baadhi ya wanafunzi wakiwa na mabango wakati walipofika eneo la ukumbi wa Pius Msekwa.
0 comments:
Post a Comment