Rais Dkt.Jakaya Kikwete, akiweka shada la maua katika kaburi la muasisi
wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wa Tanzania hayati Marehemu Mzee
Abeid Karume katika bustani za ofisi za CCM Kisiwandui Zanzibar leo
asubuhi wakati wa maaadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha musaisi huyo. Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete(kulia)Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein
(wapili kulia),Makamu wa pili wa SMZ Balozi Seif Iddi (watatu kulia),
Spika Kificho wa Baraza la Wakilishi pamoja na Balozi ali Karume
(kushoto) wakishiriki ibada ya kumuombea muasisi wa Mapinduzi ya
Zanzibar hayati, Abeid Karume, mjini Zanzibar leo. Picha na Freddy Maro
Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma Karume (kushoto),
akiomba dua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid
Amani Karume, akiwa pamoja na mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema
Shein (katikati). Kulia ni mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mama
Asha Seif Idd.
0 comments:
Post a Comment