TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, April 7, 2011

BREAKING NEWZZZZ...WATU WAPOTEZA MAISHA KWENYE MAPAMBANO TEGETA

11:44 PM
Watu wanokadiriwa zaidi ya watano wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.

ajeruhi hao yadaiwa hali zao ni mbaya sana unavyoonoa nguo imetapakaa damu na si rangi


polisi wakichukua miili ya watu waliojeruhiwa vibaya

Watu walifika kushudia yaliyotokea katika eneo hilo.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA