| MWENYEKITI
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwatambulisha rasmi wanachama wapya wa
CCM, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Sambweli Shitambala
(kulia) na alikuwa aliyekuwa Katibu Mwenezi chama hicho Wilaya ya Ileje
mkoani humo, Henry Kayuni , baada ya wote wawili kutangaza kukihama
chama chao na kujiunga na CCM, katika hafla iliyofanyika kwenye
viwanja vya Makao Mkuu ya CCM mjini Dodoma, leo. (Picha na Freddy Maro). |
0 comments:
Post a Comment