TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, April 7, 2011

SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA NDANI YA LIDAZZZ CLUB.

7:44 PM


Haya ni maandamano ya wanachama wa vilabu mbalimbali hapa nchini wakiwa kwenye maandamano ya kuelekea kwenye viwanja vya Lidaz Club,kwa ajili ya Bonanza la Serengeti Fiesta soka bonanza,yote hiyo ikiwa ni maandalizi ya kuelekea tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2011.Yameletwa kwenu kwa hisani/udhamini mkubwa wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd.Hivi sasa mashabiki wa vilabu hivyo wako hapa kwenye viwanja vya Lidax Club wakichuana vilivyo.






Maandamano yakiwasili ndani ya viwanja vya Lida Club asubuhi.
Maandamano yakiwa yamepamba moto maeneo ya Kinondoni,jijini Dar asubuhi.





2 comments:

Anonymous said...

Ni kitu cha ajabu sana, mapenzi na timu zenu hamna, kama umati huo ungeshangilia timu ya Taifa tungekuwa mbali, sasa kama nyie wazalendo njoo mshangilia under 23

Anonymous said...

OYA MBEYA VIPI MNAKUJA AU NDO MMETUSAHAU?

Post a Comment

 
BONYA HAPA