TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 22, 2011

Waziri Lukuvi nae Atinga Kwa Babu Loliondo.

3:25 PM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Williamu Lukuvi akiwa ameshika tawi la mti aina ya Mugamuryaga ambao huchimbwa mizizi yake na kuchemshwa dawa.Pembeni ni Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Elias Wawalali wakati alikuwa akimuonyesha mti huo.

Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile akimpa dawa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) William Lukuvi na Rosemary Nyerere baada ya Lukuvi kumaliza kuukagua mtu unaozalisha dawa hiyo. Lukuvi alitua Loliondo mwishoni mwa wiki iliyopita.

Baadhi ya wananchi waliofika nyumbani kwa Mchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile kunywa dawa  wakiagana na Mchungaji na kumtakia kheri baada ya kupata kikombe.Kulia kwa Mchungaji ni Balozi Paul Rupia.

Sehemu ya msururu wa magari yaliyokatiza Mto katika Kijiji cha Samunge.Picha na Habari na Mdau Sufiani Mafoto.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA