TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, March 3, 2011

Mrema Atoa Angalizo Kwa CHADEMA Kuhusu Kuhamasisha Maandamano

11:50 PM



Mbunge wa Jimbo la Vinjo, Mwenyekiti wa Chama cha TLP na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha za Serikali za Mitaa Dk. Augustino Lyatonga Mrema akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati alipotoa angalizo kwa chama cha CHADEMA kutokana na mikutano yake inayohamasisha maandamano akisema kuhamasisha maandamano kunaweza kuleta uvunjifu wa amani kama ilivyotokea kwa nchi za Madagascar, Misri, Tunisia na sasa Libya.

Dk. Mrema ameongeza kwamba kwa kawaida mkiiangusha serikali bila kufuata utaratibu wa kikatiba upo uwezekano mkubwa wa kuleta vurugu katika nchi kama ilivyotokea kwa nchi hizo za kiafrika ambazo hata walipoondolewa watawala ambao walikuwa hawatakiwa bado hakuna utulivua na mahali pengine jeshi limepata mianya ya kuchukua madaraka kwa lengo la kuhakikisha usalama wa nchi zao kama ilivyotokea kwa Misri ambayo kwa sasa inaongozwa na Jeshi, katika picha kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh. Hamad Tao.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA