Klabu ya SIMBA imetangaza kiingilio cha juu kuino SIMBA na timu ya TP
MAZEMBE ni shilingi elfu arobaini wakati mzungungu ni elfu tano katika
mchezo uliopangwa kufanyika jumapili kwenye uwanja wa TAIFA kuanzia saa
tisa na nusu Jijini DSM.
Msemaji wa SIMBA NDIMBO amesema mchezo huo umepangwa kuanza majira hayo
ili kuwapa nafasi wapenzi wa SIMBA kuangalia mapema mchezo huo ambapo
kiingilio kingine ni elfu thelathini, elfu ishirini na elfu kumi.
Kikosi hicho kipo chini ya kocha MZAMBIA PATRICK PHIRI ambaye ametua
nchini baada ya kumaliza matatizo katika familia yake,kocha huyo
atasaidiwa na AMRI SAID .
Mchezaji AMRI KIEMBA anasubiri majibu ya daktari iwapo atacheza mchezo
dhidi ya TP MAZEMBE kutoka na mcheza huyo kushindwa kucheza mchezo dhidi
ya KAGERA SUGAR
|
0 comments:
Post a Comment