| Mwimbaji wa taarab Issa kijoti afariki dunia katika ajali hiyo.
Ajali
mbaya ya gari imetokea jana katika Mbuga ya Mikumi. Ajali hiyo imehusisha
gari lililokuwa limewabeba wanamuziki wa bendi ya muziki wa Taarab ya
Five Star Morden Taarab. Imesababisha vifo vya wanamuziki kadhaa wa
kundi hilo akiwemo muimbaji maarufu wa kiume Issa Kijoti. CHANZO:
Fullshangweblog.
|
1 comments:
Inauma sana ila mungu amempenda zaidi yetu, mungu akupunguzie adhabu ya kaburi inshallah
Post a Comment