TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 22, 2011

Kikundi Cha Taarab Chapata Ajali Mbaya Mikumi

9:35 AM
Mwimbaji wa taarab Issa kijoti afariki dunia katika ajali hiyo.

Ajali mbaya ya gari imetokea jana katika Mbuga ya Mikumi. Ajali hiyo imehusisha gari lililokuwa limewabeba wanamuziki wa bendi ya muziki wa Taarab ya Five Star Morden Taarab. Imesababisha vifo vya wanamuziki kadhaa wa kundi hilo akiwemo muimbaji maarufu wa kiume Issa Kijoti. CHANZO: Fullshangweblog.

1 comments:

Anonymous said...

Inauma sana ila mungu amempenda zaidi yetu, mungu akupunguzie adhabu ya kaburi inshallah

Post a Comment

 
BONYA HAPA