Mheshimiwa Balozi Kallaghe
---
Inapenda
kuwatangazia watanzania wote waliopo Reading, Slough, Oxford na
vitongoji vingine vya karibu kuwa Imeandaa ziara maalum ya Mheshimiwa
Balozi Kallaghe ya siku tatu itakayofanyika katika mji wa Reading
kuanzia tarehe 8-10/4/2011. Sambamba ya ziara hii Mh Balozi atapata
fursa ya kutembelea shughuli mbalimbali za kimaendeleo zifanyazwo na
wajasilimali wa kitanzania na pia kukutana na wanajumuia wote.
Hivyo
basi kutakuwa na sherehe maalum ya kumkaribisha Balozi wetu hapa
Reading tarehe 9/4/11 kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 12 jioni baada ya
hapo kutakuwa na tafrija pamoja na mziki kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 6
usiku. Tafadhali wahi mapema
Ukumbi na adreess ya kwenye sherehe
Amersham Road Youth & Community CentreAmersham Road,
Caversham,
Reading,
Berks,
RG4 5BP
Tunawomba
watanzania wote mjitokeze kwa wingi ili kumkaribisha Balozi wetu. Kuja
kwenu ndio kufakisha kwa ziara hii muhimu, tafadhali mjulishe mwenzio.
Ratiba Rasmi ya ziara kamili itatolewa baadaye.
Asanteni kwa ushirikiano wenu,
Mwenyekiti
Tanz- UK
0 comments:
Post a Comment