TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, March 25, 2011

Magufuli aoneshwa Mchoro daraja la Kigamboni

4:47 PM
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli ( wa pili kutoka kushoto) akiangalia mchoro wa Daraja la Kigamboni linalotarajia kujengwa kwa ushirikiano baina ya Shirika la   Taifa la Hifadhi ya Jamii na Wizara ya Ujenzi. Mchoro huo ulionyeshwa jana jijini Dar es salaam na Ofisa Mwandamizi wa Miradi wa NSSF Engineer John Ndazi (wa pili kutoka kulia). NSSF inatarajia kuanza ujenzi wa Daraja hilo mapema mwaka huu na litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 130 hadi litakapokamilika.

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli(  kushoto) akisisitiza umuhimu wa uharikishaji wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni ili kurahisisha usafiri baina ya Kigamboni na maeneo ya mjini. Magufuli alitoa kauli hiyo leo Machi 25, 2011  jijini Dar es salaam wakati akikagua eneo ambalo Daraja hilo linatarajiwa kujengwa na NSSF kwa ushirikiano na Wizara ya Ujenzi  na litagharimu zaidi ya shilingi bilioni 130 hadi litakapokamilika.

1 comments:

chib said...

Naanza kutoa shukrani mapema kama kweli litajengwa

Post a Comment

 
BONYA HAPA