TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, March 25, 2011

NDANI YA AVENTURE CLUB MOSHI JANA NA WADAU KIBAO.

2:58 PM
Kutoka kushoto Meneja wa Bia ya Tusker Nandi Mwiyombela,katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti Teddy Hollo Mapunda na Meneja wa Mambo ya Ndani SBL ,Imani Lwinga hapa ikiwa ni katika mlo wa usiku jana.SBL wako Mkoani hapa kwa ajili ya tukio maalumu na la kihistoria kaa chonjo kujua nini kitajiri hapo baadaye.

Mkurugenzi wa Uhusiano Teddy Hollo Mapunda akijisevia mlo, Aventure Club

Wanahabari wa Mkoani Kilimanjaro wakipata mlo pamoja na wapiganaji wa SBL, ikiwa ni mara baada ya Press Briefing na utambuzi.

Promotion ya Bia ya Tusker ikiendelea

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA