Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo(DRC) jijini Kinshasa
jana jioni.Rais Kikwete alisimama kwa muda mjini Kinshasa akitokea
Abidjan, Ivory Coast na kufanya mazungumzo na Rais Kabila
(Picha na Freddy Maro).
0 comments:
Post a Comment