Banda la Tanzankia kwenye Food Bazaar linalofanyika kila mwaka huko Geneva, Uswissi, na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali zenye balozi zao huko. Misosi ya Tanzania ilikuwa kivutio kikubwa na wengi walivutiwa na mtori, makande na nyama choma Kinamama waliofanikisha hafla hiyo kwa kupika misosi ya nguvu
Balozi wetu Uswisi Mh. Marten Lumbanga akichagua msosi Shughuli inaendelea
Mdau Deus Kaganda, ofisa ubalozi huko Geneva,
akisubiri makande anayopakuliwa na mdau Carol Magessa
0 comments:
Post a Comment