TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, November 24, 2010

DEREVA TAX i AMZAWADIA MAKONDE MTEJA MTATA

12:21 PM


Kijana anayedaiwa ni dereva Taxi katika kijiwe cha Luxury Bar mjini Iringa chini akiwa amezidiwa kwa kichapo toka kwa mteja wake baada ya kukodi taxi yake ya kugoma kulipa pesa na kutishia kumpiga mwenye mali,vijana hao wamechapana usiku huu kwa zaidi ya nusu saa huku kila mmoja akiwa na nundu usoni baada ya zoezi la piga nikupige huku wakitazamwa na umati wa watu waliokuwepo eneo hilo bila kuamua
Hapa wakianza ngumi za mieleka huku wote mashati yakiwa hayatamaniki

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA