Imeripotiwa kuwa, kocha aliyechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya mchezo wa soka nchini Tanzania na aliyewahi kuvifundisha vilabu kadhaa ambaye kibarua chake cha mwisho kilikuwa kuikochi na kuwa mshauri wa saikolojia wa timu ya soka ya Simba, Syllersaid Mziray 'Mwanangu' amefariki dunia asubuhi ya leo. Mziray alikuwa amelazwa kwa muda kwenye wodi ya wagonjwa mahututi na wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan. Ipumzike pema roho ya Syllersaid Mziray. Mola aifariji familia pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na ninyi nyote mlioguswa na msiba huu. MZIRAY AMEFARIKI DUNIA..!!!
Imeripotiwa kuwa, kocha aliyechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya mchezo wa soka nchini Tanzania na aliyewahi kuvifundisha vilabu kadhaa ambaye kibarua chake cha mwisho kilikuwa kuikochi na kuwa mshauri wa saikolojia wa timu ya soka ya Simba, Syllersaid Mziray 'Mwanangu' amefariki dunia asubuhi ya leo. Mziray alikuwa amelazwa kwa muda kwenye wodi ya wagonjwa mahututi na wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan. Ipumzike pema roho ya Syllersaid Mziray. Mola aifariji familia pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na ninyi nyote mlioguswa na msiba huu.
2 comments:
HIV+ kwa muda mrefu sana huyu jamaa. Pale UDSM UKIMWI kaueneza kweli na sasa it is payment time.
Mungu Amlaze mahali pema "peponi"
Mziray alinifundisha "Sports Journalism" pale Mlimani. Mtu mzuri na msomi makini aliyetumia taaluma yake kwa faida ya wengi.
Apumzike kwa amani!!!
Post a Comment