TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, October 29, 2010

Pata nyimbo za CD "Jakaya Kikwete 2010" Bure....!!!!!!!!!!!!!!!

11:11 PM
FFU wa Ngoma Africa band wamwaga vitu hewani!!!

Nyimbo za CD "Jakaya Kikwete 2010" zinapatikana bure mtandaoni!!!!!!




Ndugu Waheshimiwa,Wananchi Mabibi na Mabwana!!!!
Katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi mkuu,
Usikose kutumia nafasi hii kwa kujipatia zawadi ya nyimbo mbili
maarufu kwa jina la "JAKAYA KIKWETE 2010" nyimbo hizo unapewa bure
kwa mda wa wiki 1 unaweza kuzipata at http://www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band
au www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_band kwa kobofya katika tuvoti hiyo unaweza kusikiliza
na kupata kopi ya nyimbo hizo na pia usikose kuungana na ujumbe uliomo katika nyimbo hizo kwamba
"Jakaya Kikwete 2010.
Ndugu wananchi msikose kutumia offer hii na nafasi kwa wakati huu muhafaka


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA