TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, October 30, 2010

MZIRAY AMEFARIKI DUNIA..!!!

2:42 PM
Imeripotiwa kuwa, kocha aliyechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya mchezo wa soka nchini Tanzania na aliyewahi kuvifundisha vilabu kadhaa ambaye kibarua chake cha mwisho kilikuwa kuikochi na kuwa mshauri wa saikolojia wa timu ya soka ya Simba, Syllersaid Mziray 'Mwanangu' amefariki dunia asubuhi ya leo. Mziray alikuwa amelazwa kwa muda kwenye wodi ya wagonjwa mahututi na wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan. Ipumzike pema roho ya Syllersaid Mziray. Mola aifariji familia pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na ninyi nyote mlioguswa na msiba huu.

2 comments:

Anonymous said...

HIV+ kwa muda mrefu sana huyu jamaa. Pale UDSM UKIMWI kaueneza kweli na sasa it is payment time.

Mungu Amlaze mahali pema "peponi"

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Mziray alinifundisha "Sports Journalism" pale Mlimani. Mtu mzuri na msomi makini aliyetumia taaluma yake kwa faida ya wengi.

Apumzike kwa amani!!!

Post a Comment

 
BONYA HAPA