TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, November 4, 2009

Wanajeshi 5 wa Uingereza wauawa

10:07 PM

Wanajeshi watano wa uingereza wameuawa katika mkoa wa Helmand,kwenye shambulio ambalo jeshi la uingereza limelaumu askari wa Afghanistan ''aliyepagawa''.

Wanajeshi hao,wamekuwa wakimpa mafunzo na kuishi pamoja na askari huyo kwenye eneo moja.

Afisa huyo alifyatua risasi,na kujeruhi vikosi vyengine,kabla ya kutoroka.

Jumla ya wanajeshi 92 wa uingereza wameuawa mwaka huu,idadi kubwa zaidi tangu vita ya Falklands mwaka 1982.

Uchunguzi kuhusu shambulio hilo katika wilaya ya Nad Ali unaendelea.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA