Waandishi wa habari wa gazeti la HabariLeo linalomilikiwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), (kutoka kushoto) Jamillah Kilahama, Stella Nyemenohi na Maulid Ahmed wakitabasamu baada ya kutunukiwa Shahada zao wakati wa Mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania, yaliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani jana. (Picha na Fadhili Akida).NONDOOOZZZZZZZ
Waandishi wa habari wa gazeti la HabariLeo linalomilikiwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), (kutoka kushoto) Jamillah Kilahama, Stella Nyemenohi na Maulid Ahmed wakitabasamu baada ya kutunukiwa Shahada zao wakati wa Mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania, yaliyofanyika Kibaha, mkoani Pwani jana. (Picha na Fadhili Akida).
0 comments:
Post a Comment