TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, November 2, 2009

Mnuso wa somesha mtoto wa kike wafana dar leo

9:28 AM

gavana wa mkoa wa dar mh. william lukuvi akihutubia kwenye mnuso wa dansi na lanchi ya usiku kuchangia elimu kwa wasichana walio kwenye maisha magumu (somesha mtoto wa kike project) katika ukumbi wa mlimani city conference hall usiku huu
unity of women friends (UWF) waliofanikisha
mnuso huu wa somesha mtoto wa kike (SOMKI)
wadau toka kila kona walihudhuria. mzee walter bgoya (shoto)
na mwanae waliwakilisha vyema mkuki na nyota
wadau kibao
yenu la in afrika band lilichengua
baadhi ya wanufaika wa mpango huu wa SOMKI
in afrika wakiwa kazini

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA