TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, October 2, 2009

Rais wa Zanzibar

10:48 AM
Rais wa Zanzibar, Dk Amani Abeid Karume, akitoa ushauri kwa mkandarasi wa idara ya ujenzi wa barabara,Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi, Khamis Masoud (kulia) wakati alipokwenda kuona maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mgagadu -Kiwani Kusini Pemba leo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi , Machano Otman Said.(Picha na Ramadhan Othman).

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA