maiti ya mwanamama anayesemekana kauwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mume wake mapema wiki hii ambaye ni mtanzania huko denmark ikipelekwa hospitali kwa uchunguzi na hifadhi. marehemu inasemekana ni mwenyeji wa denmark na wanandoa hawa walizaa watoto wawili.imeandikwa kidanish unaweza
kuitafsiri kama nilivyojaribu mimi
0 comments:
Post a Comment