Mshindi wa kwanza wa shindano la Bongo Star Search Cassian Paschal akipokea hundi yenye thamani ya sh. milioni 25 kutoka kwa madame Ritta Paulsen leo Mshindfi wa tatu wa BBS Kelvin Mbati akipokea kitita cha sh. milioni 3 kutoka kwa madame Ritta Paulsen
0 comments:
Post a Comment