TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, September 30, 2009

lukuvi akizungumza na viongozi wa wanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila

7:55 AM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi (kushoto), Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jordan Rugimbana wakizungumza na viongozi wa wanafunzi wa shule ya sekondari Kibasila, leo kuhusu utekelezaji wa madai ya wanafunzi wa shule hiyo na Shule ya Msingi, Kibasila waliofunga barabara za Mandela na Chang'ombe jana wakishinikiza kuwekwa matuta, taa za kuongozea magari, na alama za barabarani ili kuzuia ajali zinazotokea mara kwa mara katika makutano ya barabara hizo .(Picha na Yusuf Badi).

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA