TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, September 30, 2009

Dk Salim Ahmed Sali: Mfumo wa serikali umeoza kwa rushwa

7:58 AM
Na Elias Msuya

MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM na waziri mkuu wa zamani, Dk Salim Ahmed Salim amesema kuwa wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea urais sambamba na Jakaya Kikwete waachwe wapambane naye, lakini akasema hawatamuweza.

Baadhi ya jumuiya za CCM na vikundi kadhaa ndani ya chama hicho vimeshamtangaza Kikwete kuwa mwanachama mwingine asijitokeze kupambana na Kikwete kwenye uchaguzi ujao na kwamba vinamuunga mkono kiongozi huyo.

Lakini Dk Salim, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Afrika (OAU), aliiambia Mwananchi katika mahojiano maalum nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana, WanaCCM wana haki ya kupambana naye kuwania kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho tawala..Endeleaaaa.........



0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA