Rais wa Chama cha Mabunge ya jumuiya Ya Madola Samwel Sitta (kulia) akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la India Meira Kumar (kushoto) jana wakati wa mkutano wa 55 wa CPA unaoendelea mjini Arusha. Wengine ni wajumbe wa mkutano huo kutoka India (katikati)Bunge la Jumuiya ya Madola
Rais wa Chama cha Mabunge ya jumuiya Ya Madola Samwel Sitta (kulia) akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la India Meira Kumar (kushoto) jana wakati wa mkutano wa 55 wa CPA unaoendelea mjini Arusha. Wengine ni wajumbe wa mkutano huo kutoka India (katikati)
0 comments:
Post a Comment