TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, September 24, 2009

11:50 PM

Fresherz party imewadia Once...
Again... mji kasoro bahari ..Mysore......!!

Ni swala zima la kujiachia kukaribisha fresherz...
kwa aina yake kwanza AFRICAN Nite tar.1 oct ndani ya TNT,tuone khanga zinavaliwaje na wabantu kwenye Runway.Kisha tunarusha bonge la party ndani ya YOUNG ISLAND tar 3 oct.Usijali, We gonna make it happen........
Pia kuatakuwa na burudani kibao ikiwa na maswala mazima ya
swimming...
wasiliana na wahusika
Sean #+919742039294 na Baby Bosco +919886166097.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA