TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, September 25, 2009

KINA CHA PUNGUA MTO RUVU

7:36 AM
Wananchi wa Kijiji cha Kidunda, kilichopo ng'ambo ya mto Ruvu katika Tarafa ya Ngerengere, Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro wakivuka mto huo uliopungua kina cha maji kutokana na uharibifu wa mazingira na kuongezea kwa idadi ya mifugo kijijini hapo.(Picha na John Nditi).

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA