Mwanamziki wa Tanzania Ebrahim makunja aka Ras Ebby Makunja maarufu pia kama "Bw.Kichwa Ngumu" anayeiongaza bendi maarufu ya mziki wadnsi barani Ulaya "The Ngoma Africa" aka FFU, inasemekana ndiye mwanamziki wa mwanzo mmatunbi kutinga katika jarida la masupastaa na macelebrity la ujerumani, Star View magazine (Stern) yaani nyota,kuwemo katika jarida hilo inamaana unakubalika na katika kila hali kuwa moto wako kiusanii ni mkali !Huyu bwana hapa katika picha www.view.stern.de/fc/picture/687997 wanahandikwa katika majarida makubwa ya Ughaibuni,kuwa ni kamanda anayeongoza na kumiliki kikosi hatari "The Ngoma Africa" kinachowadatisha hakili washabiki na mdundo wake wa dansi,
Ras Makunja anatarajiwa kutingisha jukwaa la Afrika Festival Hamburg City.Ujerumani,siku ya Ijumaa ya 21-08-2009 oynesho hilo la wazi litafanyika katikati ya mji wa Hamburg-Altona,ambako mwaka jana walifanikiwa kuwatingisha washabiki zaid ya 50,0000 na kuwapa kazi ngumu walinzi katika onyesho hili
wasikilize http://www.myspace.com/thengomaafrica pia wanapatikana hapa http://www.facebook.com/ngomaafrica
1 comments:
Gostaria muito de saber qual é o idioma que traduz o seu texto, eu não consegui traduzir nada
Abraços.
Post a Comment