Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga (wa pili kushoto) akioneshwa mazao ya misitu na viroba vya mkaa na Ofisa Misitu Msimamizi wa Sheria, Arjanson Mloge (kulia) vilivyokamatwa katika eneo la Kimbiji na kufikishwa eneo la bandari ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki, Gladness Mkamba. .BIASHARA HARAMU YA MAGOGO YABUMA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga (wa pili kushoto) akioneshwa mazao ya misitu na viroba vya mkaa na Ofisa Misitu Msimamizi wa Sheria, Arjanson Mloge (kulia) vilivyokamatwa katika eneo la Kimbiji na kufikishwa eneo la bandari ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki, Gladness Mkamba. .
0 comments:
Post a Comment